HABARI, NA HASSAN MSELLEM, MOROGORO Jukwaa La Habari La Jamii Africa Tanzania Limetoa Mafunzo Ya Namna Bora Ya Kuzitambua Habari Za Uzushi Na Upotoshaji Kwa Wanafunzi 35 Wa Fani Ya Uandishi Wa Habari Na Mawasilian Kwa Umma Kutoka Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro Ili Kuwaandaa Kwenda Kutekeleza Majukumu Yao Habari Kwa Ufanisi Akizungumza Na Halisi Media Online Punde Baada Ya Kumalizika Kwa Mafunzo Hayo Meneja Programu Kutoka Jamii Africa Ziada Omar Selukino, Amesema Lengo La Mafunzo Hayo Ni Kuboresha Uwanda Kwa Kidigitali Kwa Wanafunzo Wanaosoma Fani Ya Habari Ili Kuwaongezea Taaluma Katika Kuzitambua Habari Za Uzushi Na Upotoshaji. Kwa Upande Wake Mshauri Wa Wanafunzi Kutoka Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro Dk. Hassan Mohamed Issa, Amesema Kupatiwa Mafunzo Kwa Wanafunzo Wa Kada Ya Habari Na Mawasiliano Kwa Umma Kutoka Chuo Cha Waislamu Morogoro Ni Miongoni Mwa Juhudi Zinazofanywa Na Chuo Hicho Katika Kwajenga Wanafunzi Fani Ya Habari Kitaaluma Zaidi. Shumina Ali Soka, Miraji J Kis...